Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 8:19 - Compare All Versions

1 Samueli 8:19 BHN (Biblia Habari Njema)

Hata hivyo watu walikataa kumsikiliza Samueli, wakasema, “La! Sisi tutakuwa na mfalme juu yetu

Shirikisha
1 Samueli 8 BHN

1 Samueli 8:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini hao watu wakakataa kuisikiliza sauti ya Samweli; wakasema, Sivyo hivyo; lakini tunataka kuwa na mfalme juu yetu

1 Samueli 8:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Walakini hao watu wakakataa kuisikiliza sauti ya Samweli; wakasema, Sivyo hivyo; lakini tunataka kuwa na mfalme juu yetu

Shirikisha
1 Samueli 8 SUV

1 Samueli 8:19 NEN (Neno)

Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala.

Shirikisha
1 Samueli 8 NEN