Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 8:8 - Compare All Versions

1 Samueli 8:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Tangu nilipowatoa Misri, wameniacha mimi, wamekuwa wakiitumikia miungu mingine mpaka leo. Sasa hayo matendo ambayo wamekuwa wakinitendea mimi, ndiyo wanayokutendea na wewe.

Shirikisha
1 Samueli 8 BHN

1 Samueli 8:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa kadiri ya matendo yote waliyonitenda tokea siku ile nilipowatoa katika Misri hata leo, kwa kuniacha mimi, na kwa kutumikia miungu mingine, ndivyo wanavyokutenda wewe.

1 Samueli 8:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa kadiri ya matendo yote waliyonitenda tokea siku ile nilipowatoa katika Misri hata leo, kwa kuniacha mimi, na kwa kutumikia miungu mingine, ndivyo wanavyokutenda wewe.

Shirikisha
1 Samueli 8 SUV

1 Samueli 8:8 NEN (Neno)

Kama vile walivyofanya tangu siku nilipowapandisha kutoka Misri hadi siku hii ya leo; wakiniacha mimi na kutumikia miungu mingine, ndivyo wanavyokufanyia wewe.

Shirikisha
1 Samueli 8 NEN