1 Samueli 9:17 - Compare All Versions
1 Samueli 9:17 BHN (Biblia Habari Njema)
Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.”
Shirikisha
1 Samueli 9 BHN1 Samueli 9:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia juu zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
Shirikisha
1 Samueli 9 SRUV1 Samueli 9:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia habari zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
Shirikisha
1 Samueli 9 SUV1 Samueli 9:17 NEN (Neno)
Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.”
Shirikisha
1 Samueli 9 NEN