1 Wathesalonike 1:6
1 Wathesalonike 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mlifuata mfano wetu, mkamwiga Bwana. Ingawa mliteswa sana, mliupokea ujumbe huo kwa furaha itokayo kwa Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 11 Wathesalonike 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 1