1 Wathesalonike 5:15
1 Wathesalonike 5:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 5