1 Timotheo 1:16
1 Timotheo 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kwa ajili hii nilipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1