1 Timotheo 1:17
1 Timotheo 1:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sasa kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kuona uharibifu, asiyeonekana, Mungu peke yake, na iwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Basi Mfalme wa milele, asiye na mwisho, asiyeonekana, aliye Mungu pekee, apewe heshima na utukufu milele na milele. Amen.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1