1 Timotheo 1:5
1 Timotheo 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini lengo la agizo hili ni kuleta upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Walakini mwisho wa agizo hilo ni upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1