1 Timotheo 3:4
1 Timotheo 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 31 Timotheo 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 3