1 Timotheo 3:9 - Linganisha Matoleo Yote
1 Timotheo 3:9 BHN (Biblia Habari Njema)
wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.
Shirikisha
1 Timotheo 3 BHN1 Timotheo 3:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakiishika siri ya imani katika dhamiri safi.
Shirikisha
1 Timotheo 3 SUV1 Timotheo 3:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
wakiishika siri ya imani kwa dhamiri safi.
Shirikisha
1 Timotheo 3 SRUV1 Timotheo 3:9 NEN (Neno)
Inawapasa kushikamana sana na ile siri ya imani kwa dhamiri safi.
Shirikisha
1 Timotheo 3 NEN