1 Timotheo 4:12
1 Timotheo 4:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mtu yeyote asikudharau kwa kuwa wewe ni kijana, bali uwe kielelezo kizuri kwa waumini katika usemi, mwenendo, upendo, imani na usafi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 4