1 Timotheo 4:7
1 Timotheo 4:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 41 Timotheo 4:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 4