1 Timotheo 5:17
1 Timotheo 5:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Viongozi wa kanisa wanaowaongoza watu vizuri wanastahili kupata riziki maradufu, hasa wale wanaofanya bidii katika kuhubiri na kufundisha.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 51 Timotheo 5:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wazee watawalao vema na wahesabiwe kustahili heshima maradufu; hasa wao wajitaabishao kwa kutoa unabii na kufundisha.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 5