1 Timotheo 5:8
1 Timotheo 5:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 51 Timotheo 5:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 5