1 Timotheo 6:10
1 Timotheo 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote. Watu wengine wametamani sana kupata fedha hata wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja mioyo yao kwa huzuni nyingi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6