1 Timotheo 6:12
1 Timotheo 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Pigana vile vita vizuri vya imani. Shika uzima wa milele ambao ndio ulioitiwa ulipokiri ule ukiri mzuri mbele ya mashahidi wengi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6