1 Timotheo 6:17
1 Timotheo 6:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Walio matajiri wa ulimwengu wa sasa uwaagize wasijivune, wala wasiutumainie utajiri usio yakini, bali wamtumaini Mungu atupaye vitu vyote kwa wingi ili tuvitumie kwa furaha.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6