1 Timotheo 6:9
1 Timotheo 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 61 Timotheo 6:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 6