2 Mambo ya Nyakati 1:7
2 Mambo ya Nyakati 1:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 12 Mambo ya Nyakati 1:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usiku ule Mungu akamtokea Solomoni na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 1