Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mambo ya Nyakati 18:1 - Linganisha Matoleo Yote

2 Mambo ya Nyakati 18:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakati mfalme Yehoshafati wa Yuda alipokuwa amekwisha kuwa mtu tajiri na mwenye heshima, alifanya mpango wa ndoa baina ya jamaa yake, na jamaa ya mfalme Ahabu wa Israeli.

2 Mambo ya Nyakati 18:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi, Yehoshafati alikuwa na mali na heshima tele, tena akafanya ujamaa na Ahabu.

2 Mambo ya Nyakati 18:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi, Yehoshafati alikuwa na mali na heshima tele, tena alifanya maridhiano ya ndoa na Ahabu.

2 Mambo ya Nyakati 18:1 NEN (Neno)

Basi, Yehoshafati alikuwa na mali nyingi sana na heshima. Naye akafanya urafiki na Ahabu kwa uhusiano wa ndoa.