2 Mambo ya Nyakati 20:12
2 Mambo ya Nyakati 20:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ndiwe Mungu wetu! Waadhibu, kwani sisi hatuna uwezo wowote mbele ya jeshi kubwa kama hili linalotujia. Hatujui la kufanya ila tunatazamia msaada kutoka kwako.”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 202 Mambo ya Nyakati 20:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee Mungu wetu, je! Hutawahukumu? Maana sisi hatuna uwezo juu ya jamii kubwa hii, wanaotujia juu yetu; wala hatujui tufanyeje; lakini macho yetu yatazama kwako.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 20