2 Mambo ya Nyakati 20:3
2 Mambo ya Nyakati 20:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 202 Mambo ya Nyakati 20:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute BWANA; akatangaza mbiu ya watu kufunga katika Yuda yote.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 20