2 Mambo ya Nyakati 26:5
2 Mambo ya Nyakati 26:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa uaminifu wakati wa kuishi kwa Zekaria, aliyemfundisha kumtii Mungu. Kadiri alivyomtafuta Mungu, Mungu alimfanikisha.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 262 Mambo ya Nyakati 26:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajitia nia amtafute Mungu katika siku za Zekaria, aliyekuwa na fahamu katika maono ya Mungu; na muda alipomtafuta BWANA, Mungu alimfanikisha.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 26