2 Mambo ya Nyakati 7:12
2 Mambo ya Nyakati 7:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akamtokea Sulemani usiku, akamwambia, Nimesikia uliyoyaomba, na mahali hapa nimejichagulia kuwa nyumba ya dhabihu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA akamtokea Solomoni usiku na kumwambia: “Nimesikia maombi yako nami nimechagua mahali hapa kwa ajili yangu mwenyewe kuwa Hekalu kwa ajili ya dhabihu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7