2 Mambo ya Nyakati 7:16
2 Mambo ya Nyakati 7:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili kwamba Jina langu lipate kuwa huko milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwepo huko daima.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7