2 Wakorintho 1:21-22
2 Wakorintho 1:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na nyinyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka wakfu; ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12 Wakorintho 1:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu, naye ndiye aliyetutia mhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 1