2 Wakorintho 1:6
2 Wakorintho 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa tunapata taabu, basi ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu. Tukifarijika, ni kwa ajili ya kuwafariji nyinyi na kuwaunga mkono mpate nguvu ya kustahimili mateso yaleyale tunayoteseka sisi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12 Wakorintho 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ikiwa sisi tu katika dhiki, ni kwa ajili ya faraja yenu na wokovu wenu; au ikiwa twafarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu; ambayo hutenda kazi yake kwa kustahimili mateso yale yale tuteswayo na sisi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12 Wakorintho 1:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini ikiwa sisi tu katika dhiki, ni kwa ajili ya faraja yenu na wokovu wenu; au ikiwa twafarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu; ambayo hutenda kazi yake kwa kustahimili mateso yale yale tuteswayo na sisi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 1