2 Wakorintho 10:4-5
2 Wakorintho 10:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya Mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 10