2 Wakorintho 10:5
2 Wakorintho 10:5 Biblia Habari Njema (BHN)
na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya Mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii Kristo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 102 Wakorintho 10:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 10