2 Wakorintho 12:10
2 Wakorintho 12:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, dharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya Kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 122 Wakorintho 12:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo napendezwa na udhaifu, na ufidhuli, na misiba, na adha, na shida, kwa ajili ya Kristo. Maana niwapo dhaifu ndipo nilipo na nguvu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12