2 Wakorintho 12:9
2 Wakorintho 12:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini akaniambia: “Neema yangu inatosha kwa ajili yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu.” Basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake Kristo ukae juu yangu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 122 Wakorintho 12:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12