Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 2:8 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wakorintho 2:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda.

2 Wakorintho 2:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu.

2 Wakorintho 2:8 NEN (Neno)

Kwa hiyo, nawasihi mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwake.