2 Wakorintho 4:4
2 Wakorintho 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, wasiione nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 42 Wakorintho 4:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 4