2 Wakorintho 8:7
2 Wakorintho 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mna kila kitu: Imani, uwezo wa kusema, elimu; bidii yote ya kutenda mema, na upendo wenu kwetu. Hivyo, tunatazamia muwe wakarimu katika huduma hii ya upendo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 82 Wakorintho 8:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini kama mlivyo na wingi wa mambo yote; imani, na usemi, na elimu, na bidii yote, na upendo wenu kwetu sisi; basi vivyo hivyo mpate wingi wa neema hii pia.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 8