2 Wakorintho 9:8
2 Wakorintho 9:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 92 Wakorintho 9:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu anaweza kuwapeni nyinyi zaidi ya yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 9