2 Yohane 1:8
2 Yohane 1:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.
Shirikisha
Soma 2 Yohane 12 Yohane 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, jihadharini nyinyi wenyewe ili msije mkapoteza kile mlichokishughulikia, bali mpate tuzo lenu kamili.
Shirikisha
Soma 2 Yohane 1