2 Wafalme 1:10
2 Wafalme 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia akamjibu huyo kapteni wa watu hamsini, “Kama mimi ni mtu wa Mungu, moto na ushuke kutoka mbinguni na kukuteketeza wewe pamoja na watu wako!” Mara moto ukashuka kutoka mbinguni, ukamteketeza pamoja na watu wake hamsini.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Eliya akajibu, akamwambia yule akida wa hamsini, Ikiwa mimi ni mtu wa Mungu, na ushuke moto kutoka mbinguni, ukuteketeze wewe na hamsini wako. Moto ukashuka, ukamteketeza, yeye na hamsini wake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 1