2 Wafalme 17:39
2 Wafalme 17:39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini BWANA, Mungu wenu, ndiye mtakayemcha; naye atawaokoa mikononi mwa adui zenu wote.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 172 Wafalme 17:39 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Bali, mtamwabudu BWANA Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 17