2 Wafalme 18:5
2 Wafalme 18:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alimtumaini BWANA, Mungu wa Israeli; hata baada yake hapakuwa na mfano wake katika wafalme wote wa Yuda, wala katika hao waliomtangulia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 182 Wafalme 18:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hezekia aliweka tumaini lake kwa BWANA, Mungu wa Israeli. Hapakuwepo na mfalme mwingine wa kufanana naye miongoni mwa wafalme wa Yuda, kabla yake au baada yake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 18