2 Wafalme 18:7
2 Wafalme 18:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye BWANA akawa pamoja naye, kila alikokwenda alifanikiwa; tena alimwasi mfalme wa Ashuru, wala hakumtumikia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 182 Wafalme 18:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye BWANA alikuwa pamoja naye, akafanikiwa katika kila alichokifanya. Aliasi dhidi ya mfalme wa Ashuru, wala hakumtumikia.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 18