2 Wafalme 19:19
2 Wafalme 19:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sasa basi, Ee BWANA Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee BWANA, ndiwe Mungu.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 192 Wafalme 19:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, nakusihi utuokoe makuchani mwa Senakeribu, falme zote za dunia zijue kwamba ni wewe peke yako, ee Mwenyezi-Mungu, uliye Mungu.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 19