2 Wafalme 2:11
2 Wafalme 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipokuwa wanatembea na kuongea, ghafla, gari la moto likatokea pamoja na farasi wa moto; likawatenganisha; naye Elia akachukuliwa mbinguni katika kisulisuli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, walipokuwa wakiendelea mbele na kuongea, tazama! Kukatokea gari la moto, na farasi wa moto, likawatenga wale wawili; naye Eliya akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2