2 Wafalme 2:12
2 Wafalme 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Elisha alipoona tukio hilo akalia, “Baba yangu, baba yangu! Gari la Israeli na wapandafarasi wake!” Basi, Elisha hakumwona tena Elia. Ndipo Elisha alipoyashika mavazi yake na kuyararua vipande viwili.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye Elisha akaona, akalia, Baba yangu, baba yangu, gari la Israeli na wapanda farasi wake! Asimwone tena kabisa; akashika mavazi yake mwenyewe, akayararua vipande viwili.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2