2 Wafalme 2:14
2 Wafalme 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Akayapiga maji kwa vazi la Elia akisema, “Yuko wapi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Elia?” Alipoyapiga maji, yakagawanyika sehemu mbili, naye akavuka hadi ngambo.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akalitwaa lile vazi la Eliya lililomwangukia, akayapiga maji, akasema, Yuko wapi BWANA, Mungu wa Eliya? Naye alipoyapiga maji, yakagawanyika huku na huku, Elisha akavuka.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2