2 Wafalme 2:9
2 Wafalme 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipofika ngambo, Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 22 Wafalme 2:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata ikawa, walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, Omba kwangu lo lote utakalo nikutendee, kabla sijaondolewa kwako. Elisha akasema, Nakuomba, sehemu maradufu ya roho yako na iwe juu yangu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 2