2 Wafalme 20:1
2 Wafalme 20:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akaenda kwake na kumwambia, “Hili ndilo asemalo BWANA: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 202 Wafalme 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo Hezekia aliugua sana karibu na kufa. Ndipo nabii Isaya, mwana wa Amozi alipomwendea na kumwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu; ‘Panga mambo yako sawasawa katika nyumba yako kwa kuwa utakufa, hutapona.’”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 20