2 Wafalme 20:5
2 Wafalme 20:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Rudi ukamwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, ‘Hili ndilo asemalo BWANA, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako; nitakuponya. Siku ya tatu kuanzia sasa utapanda kwenda Hekalu la BWANA.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 202 Wafalme 20:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Rudi ukamwambie Hezekia, mkuu wa watu wa Mwenyezi-Mungu: Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu yako Daudi, nimesikia ombi lako na nimeona machozi yako. Nitakuponya na baada ya siku tatu utakwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 20