Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 25:29 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wafalme 25:29 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni. Kila siku alikuwa anapata daima chakula chake kwa mfalme.

2 Wafalme 25:29 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

naye akambadilishia mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.

2 Wafalme 25:29 SRUV (Swahili Revised Union Version)

naye akambadilishia mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.

2 Wafalme 25:29 NEN (Neno)

Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya gerezani, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme.