2 Wafalme 3:15
2 Wafalme 3:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa BWANA ukamjia juu yake.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 32 Wafalme 3:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini sasa, nileteeni mpiga kinubi.” Mpiga kinubi alipokuwa akipiga, mkono wa BWANA ukaja juu ya Elisha
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 3