2 Wafalme 4:2
2 Wafalme 4:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Elisha akamjibu, “Nitawezaje kukusaidia? Niambie, una nini ndani ya nyumba yako?” Akasema, “Mtumishi wako hana kitu chochote kabisa, isipokuwa mafuta kidogo.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4